Gombo kaya

Karibu kwenye nyumba ya Wasangu!

 

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya  kusikiliza na vya kutazama, vyote kwa lugha ya Kisangu!

Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi  yaliyorekodiwa  na video za kufurahisha! Kama una mawazo au maoni yeyote wasiliana nasi.

 

Asante sana!

Sangu flower